#MbeyaYetuTv
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert John Chalamila ametoa masaa 7 na kuwataka wadaiwa Sugu wa Ranchi ya Taifa ya NARCO iliyopo Wilayani Mbarali Mkoani Mbeya kulipa madeni yao zaidi ya Shilingi Bil.1.7.
Chalamila amesema Wadaiwa hao Sugu akiwemo aliyekuwa Waziri wa Fedha Basil Mramba,aliyekuwa Mbunge wa Mbarali Esterina Kilasi na baadhi ya Wafanyabiashara wanatakiwa kulipa fedha hizo ndani ya saa 7 ambapo pia amesema mara baada ya tamko hilo, mifugo ya wafanyabiashara hao itakuwa chini ya mikono ya serikali hadi hapo watakapolipa deni hilo.
Trending
- Nilidhani Msongo wa Mawazo Umenishinda, Nilijifunza Kuponya Akili Yangu
- Pombe Ilinifanya Nipoteze Kazi, Marafiki na Heshima—Safari ya Kuacha Ilikuwa Ngumu, Inawezekana
- MAHUNDI AWATUNUKU WAHITIMU 530 CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII(CDTI)UYOLE
- Naibu Waziri Kundo: Mradi wa Maji Mto Kiwira Umefikia Asilimia 98
- Madaktari Walimwambia Ataishi na Maumivu Milele Lakini Ndani ya Miezi Sita Kila Kitu Kilibadilika
- Walimdharau Kwa Miaka Kwa Sababu ya Umaskini Leo Anasaini Contracts za Serikali Zenye Thamani ya Mabilioni
- This time I give steve a link (no mid-stream ads)
- What is Charlie Kirk’s Security Man Brian Harpole Twisting and Squeezing at the Big Bang? – #33
