Author: admin

Octoba 5 kila mwaka ni siku ya MWALIMU DUNIANI,changamoto katika taaluma hii zinashabihiana kwa walimu wengi wa Tanzania,heshima ya walimu katika zama hizi imeshuka tofauti na zama zile ambapo Mwalimu alikuwa ni mshauri,alikuwa ndiye mtatuzi na mfumbuzi wa matatizo katika jamii,sifa zile za walimu kwa zama zile zimegeukia kwa wanasiasa,Mwalimu ndiye kiwanda cha kuzalisha wataalamu wote waliopo chini ya jua.

Read More