Author: Mbeya Yetu

Jina langu ni Hamadi Murimi, mwanamume ambaye maisha yake ni shuhuda wa ukweli kwamba kila chaguo tunalofanya katika maisha huturudia na wakati mwingine kuamua hatima yetu bila ya sisi hata kupenda. Kwa muongo mmoja, nilibarikiwa kuwa na mwanamke mmoja mzuri ajabu sana ambaye kusema kweli alikuwa ni mwanga wa upendo na utulivu katika maisha yangu. Hata hivyo, kutokana na udhaifu kama mwanaume kuna wakati nilipotoka na kutoka kwenye njia. Nilimsaliti, na kwa kufanya hivyo, nilivunja utakatifu wa ndoa yetu. Kubainika kwa uovu wangu huo ambao ulipelekea kupata watoto wawili nje ya ndoa, kuliashiria mwanzo wa anguko Siku ambayo mke wangu…

Read More

Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Uturuki zimekubaliana kushirikiana kukuza Sekta ya Maliasili na Utalii lengo ikiwa ni kuongeza idadi ya watalii wanaotembelea nchi hizo mbili. Hayo yamebainika leo Novemba 19,2024 wakati wa kikao kati ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Dkt. Mehmet Gulluoglu kilichofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa masuala yaliyojadiliwa ni ushirikiano kati ya bodi za utalii za Tanzania na Uturuki katika utangazaji wa maeneo ili kuongeza watalii, kushirikiana na Shirika la Ndege la…

Read More

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Mhe. Thomas Terstegen jijini Dar es Salaam leo Novemba 20,2024 . Miongoni mwa masuala yaliyojadiliwa ni pamoja na kuendeleza mashirikiano katika kuboresha miundombinu ya Hifadhi ya Mwalimu Nyerere ili iweze kufikika vizuri, kuendelea kusaidia uhifadhi unaopatikana Ruvuma kupitia mradi wa GIZ pamoja na kuunga mkono juhudi za Serikali za uhifadhi katika kukabiliana na changamoto ya wanyamapori wakali na waharibifu. Kikao hicho kimehudhuriwa na Mwakilishi wa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Eliud Mtailuka, Afisa kutoka Wizara ya…

Read More