Author: Mbeya Yetu

Mjumbe wa Tuhe Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Balozi Omar Ramadhan Mapuri akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya siku mbili ya watendaji wa Uboreshaji ngazi ya majimbo katika mikoa yote ya Kisiwa cha Pemba, Zanzibar. Mafunzo hayo yamefungwa leo Oktoba o2, 2024 amewataka watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura  Visiwani Zanzibar kuzingatia Katiba ya nchi, sheria za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani na kanuni zake katika utekelezaji wa majukumu yao. Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufaa Mstaafu Mbarouk Salim Mbarouk (katikati) akiwa meza kuu na…

Read More

Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Mhe. Ester Mahame, ametembelea kambi ya matibabu inayotolewa na Madaktari Bingwa na Bobezi wa Rais Samia Suluhu Hassan katika hospitali ya wilaya ya Vwawa kwa lengo la kujionea hali ya utoaji huduma pamoja na kuonge na kuwafariji wagonjwa waliojitokeza kupatiwa matibabu katika kambi hiyo, ambayo itakaa mkoani Songwe kwa siku 7. Akizungumza wakati wa ziara hiyo, Mhe. Mahame amesisitiza umuhimu wa maboresho wakubwa ya huduma za afya nchini yakiyofanyika na kumpongeza Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani na Serikali ya awamu ya sita kwa kuweka mazingira mazuri ambayo yanawawezesha…

Read More

kuu wa Mkoa wa Mbeya Cde: Juma Z. Homera amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Mbeya kuhakikisha wanawapatia huduma Nzuri na za Uhakika(Chakula Malazi n.k) Madaktari Bingwa wa Samia waliofika Leo Mkoani Mbeya kwaajiri ya Kuanza Kambi Maalum ya Matibabu katika Hospitali za Halmashauri za Wilaya Mkoani humo. Ameyasema hayo Leo Septemba 30 2024 wakati akiwapokea Madaktari hao Bingwa kupitia Mpango Kabambe Wenye Kauli mbiu ya Madaktari Bingwa wa Dkt: Samia tumekufikia Karibu tukuhudumie ambayo itaanza Septemba 30 hadi Oktoba 06 2024. Katika Hotuba yake RC Homera amesema Mkoa wa Mbeya umepokea Jumla ya Madaktari 50 ambapo Kila Hospital…

Read More

Dhamira ya Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuboresha huduma za Afya katika Mkoa wa Songwe kupitia kwa madaktari bingwa wa Rais Samia ambapo lengo kuu likiwa ni kuingia na kutoka katika nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC). Katibu Tawala wa Mkoa Bi. Happiness Seneda amesema hayo leo Septemba 30, 2024 wakati wa kuwakaribisha wataalamu hao akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa Songwe amnapo amesema mkoa huo umepiga hatua kubwa katika Sekta ya Afya ikiwa ni pamoja na kuwekeza katika hospitali ya mkoa na wilaya. “Mkoa huu hadi kufikia mwaka 2015…

Read More

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana amekagua maboresho ya miradi mbalimbali ya kimkakati katika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere Mkoani Ruvuma. Akiwa katika ziara hiyo leo, Septemba 29, 2024 Mhe. Chana amekagua ujenzi wa kiwanja cha ndege, lango la kitalii la kisasa, nyumba ya wageni yenye vyumba nane na ujenzi wa nyumba za watumishi. Akizungumza katika ziara hiyo, Mhe. Chana amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa maono makubwa katika sekta ya Maliasili na Utalii ambapo alitoa fedha za UVIKO-19 zilizotumika kujenga miradi hiyo. Ametoa maelekezo kwa TANAPA kuhakikisha lango…

Read More

Makamu Mwenyekiti Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji wa Rufaa(Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk, akizungumza wakati wa kufungua mkutano wa Wadau wa Uchaguzi katika kisiwa cha Pemba, Zanzibar leo Septemba 30, 2024 ambapo Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imekutana na wadau mbalimbali wa uchaguzi kuwapa taarifa juu ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaotaraji kufanyika Visiwani Zanzibar kuanzia Oktoba 7 hadi 13, mwaka huu. Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu Asina Omari akizungumza wakati wa kufungua mkutano wa Wadau wa Uchaguzi katika kisiwa cha Unguja, Zanzibar leo…

Read More