Author: Mbeya Yetu

Kambi ya wiki moja ya uchunguzi na upasuaji mtoto wa jicho iliyoanza juni 18,2024 hadi juni 24,20224 katika Hospitali ya Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya kwa ufadhili  wa Shirika lisilo la Kiserikali la Helen Keller International na Wizara ya Afya imepata mafanikio makubwa baada kufurika wagonjwa wengi kuhitaji huduma hiyo kinyume na matarajio yao lengo ilikuwa ni kuwafikia wagonjwa mia nne hamsini baada ya kufanyiwa uchunguzi katika Kata kumi na saba kati ya Kata ishirini za Wilaya ya Chunya. Akitoa taarifa baaada ya kutamatika  kambi hiyo iliyojumuisha Madaktari wa macho kutoka Hospitali mbaalimbali nchini chini ya Daktari Bingwa wa macho…

Read More

Katibu Mkuu Wizara ya Maji Engineer Mwajuma Waziri ametembelea Ujenzi wa Mradi wa Maji kutoka chanzo Cha Mto Kiwira Mkoani Mbeya ambapo amewataka Wasimamizi wa Mradi huo kuongeza Kasi na kubainisha kuwa kwa hatua waliyoifikia ya Ujenzi hatarajii kuona Mvua inakuwa kikwazo katika Ukamilishwaji wa Mradi huo. Eng: Waziri amewapa Maelekezo Mkandarasi na Washauri wake kufanya marekebisho ya baadhi ya Maeneo na amemtoa wasiwasi kuhusu Malipo yake Wizara na Serikali kwa Ujumla kutomuangusha Mkandarasi huyo ambaye anasimamia Ujenzi wa Banio kwenye Chanzo Cha Mto Kiwira na Tank la Maji lenye Ujazo wa Litre Million 117 ambalo linajengwa eneo la Forest.…

Read More

Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imepongezwa kwa kufanya kazi kwa weledi na Ushirikiano wenye lengo la kuleta matokeo chanya kwenye sekta ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi nchini. Pongezi hizo zimetolewa tarehe 14 Agosti, 2024 na Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb), wakati wa ziara yake ya kikazi katika ofisi za Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) zilizopo Jijini Dodoma. “Tume hii ni moja ya vipaumbele vya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan hivyo tunapaswa kumsaidia kutimiza maono yake” Amesema Mhe. Mahundi. Kwa upande…

Read More

Taasisi ya Tulia Trust chini ya Mkurugenzi Wake ambaye ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU), Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Dkt. Tulia Ackson imeandaa Mashindano ya Mapishi kwa Mama na Baba Lishe Mbeya Mjini.

Mashindano hayo ya Mapishi yanajulikana kwa Jina la Tulia Cooking Festival yanatarajiwa Kufanyika Mwishoni mwa Mwezi Agosti Mwaka huu 2024, yakishirikisha Washiriki Elfu Moja (1,000) yenye kauli mbiu isemayo Tumia Nishati Mbadala Kuondoa Uchafuzi wa Mazingira.

Read More

Wakazi wa Mji wa Geita mkoani Geita wakiwa foleni katika  moja ya vituo vya kuboreshea Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani humo kwaajili ya kuboresha taarifa zao na kujiandiskisha leo ikiwa ni siku ya mwisho ya zoezi hilo mkoani Geita. Zoezi hilo pia linafanyika mkoani Kagera na lilianza Agosti 5 hadi 11,2024.  Wakazi wa Mji wa Geita mkoani Geita wakiwa katika moja ya vituo vya kuboreshea Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani humo kwaajili ya kuboresha taarifa zao na kujiandiskisha leo ikiwa ni siku ya mwisho ya zoezi hilo mkoani Geita. Zoezi hilo pia linafanyika mkoani…

Read More