Mmiliki wa Kampuni ya G & I, Selemani Kaniki, ameeleza jinsi alivyozingatia sheria zote za serikali katika shughuli za uchimbaji madini katika kijiji cha Ifumbo, kata ya Ifumbo, wilayani Chunya, mkoani Mbeya, kabla ya kuvamiwa na wananchi waliotekeleza vurugu, kuchoma mali zake moto, na kupora fedha alizoandaa kwa ajili ya kulipa wafanyakazi wake.
Trending
- CHAKAMWATA KUWAFIKISHA MAHAKAMANI CWT NA WAKURUGENZI
- JK AWASILISHA UJUMBE WA RAIS SAMIA KWA RAIS MUSEVENI WA UGANDA LEO JIJINI KAMPALA
- Spika wa Bunge la Tanzania aongoza Waombolezaji kutoa Rambirambi kwa Kifo cha Katibu wa Bunge la Zambia
- RAIS SAMIA AUNGWA MKONO NA WATUMISHI WA AFYA KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINI
- CHAUMMA YATANGAZA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025
- Tulia Trust yaendelea kutoa tabasamu kwa kujenga nyumba tatu katika kata za Itezi, Uyole na Igawilo
- Dkt. Tulia Ackson Afungua Kikao cha 39 cha Jukwaa la Wanawake wa IPU Jijini Tashkent
- VIONGOZI MBALIMBALI WASHIRIKI MAZISHI YA KATIBU WA UWT MKOA WA MBEYA