Ukweli ni kwamba heshima ya kweli anayopewa mwanaume kutoka kwa mke wake ni pale ambapo anatimiza majukumu yake vizuri ya kuihudumia familia, na kubwa zaidi ni pale wakati wa kula chakula cha usiku, mume ahakikishe mke kala na kuridhika.
Wakubwa tunaelewana vizuri katika jambo hilo nyeti zaidi, huo ni uwanja wetu wa vita wa kujidai na kuonyesha uwezo wetu na kudhihirisha uanaume wetu.
Niseme katika ndoa yangu kuna kipindi nilikubwa na tatizo la kiafya ambalo lilipelekea mimi kushindwa kumridhisha mke wangu hadi akafikia hatua ya kuanza kunidharau na kutamka wazi wazi ataenda nje ya ndoa yetu.
Kwenye ndoa nimeishi kwa miaka mingi, nimeona mengi, nimepitia milima na mabonde, kupanda na kushuka, kulia na kucheka hadi sasa nipo na mke wangu. Soma zaidi hapa