Jina langu ni Saidi kutoka Tanga, na hadi leo bado siamini maisha niliyonayo sasa. Kuna wakati nilikuwa napambana tu kupata hela ya nauli, sasa hivi nasafiri duniani kama mtu wa hadhi, nikilala hoteli za nyota tano, nikila chakula cha kifahari, na hata kupewa heshima ya mgeni mashuhuri kwenye baadhi ya mataifa. Yote haya yalianza kwa kubonyeza tu linki ya tiketi ya bahati nasibu mtandaoni.
Nilikuwa tu kwenye simu yangu jioni moja baada ya kazi ya mchana ya kubeba mizigo bandarini. Niliona tangazo kwenye mtandao kuhusu bahati nasibu ya kimataifa, tiketi ilikuwa dola 5 tu. Kwa kawaida siamini mambo kama hayo, lakini kuna kitu ndani yangu kilinisukuma nijaribu.
Nilijikaza nikakata tiketi moja kwa kutumia hela ya data niliyokuwa nimepangiwa kwa mwezi mzima. Nilicheka mwenyewe nikisema “Hii ni hela niliyopoteza tu,” lakini sikuwa najua hiyo hela ndogo ingeandika historia mpya ya maisha yangu.
Wiki mbili baadaye, nikiwa sijaweka akili tena kwenye lile shindano, nilipokea barua pepe kutoka kwa waandaaji wa bahati nasibu ile. Waliniambia nimeshinda dola milioni 1.5! Nilidhani ni utapeli wa kawaida wa mtandaoni. Soma zaidi hapa