Hadi sasa kati ya mambo ambayo siwezi kuja kuyasahau katika maisha yangu ni matukio ya kukabwa nikiwa ndotoni na watu ambao nakuwa nawafahamu hasa rafiki zangu lakini nikishaamka siwakumbuki tena.
Naitwa Meshaki, mwaka mmoja na nusu uliyopita nilikumbwa na changamoto moja kubwa sana katika maisha yangu, hasa pale ambapo nilianza kuota ndoto za kutisha kiasi kwamba nilikuwa hadi napata mawazo ukifika wakati wa kulala.
Nilijaribu kwenda kwa waganga wa jadi na kuwasilimulia ndoto ambazo nazikumbuka waweze kuniambia nini maana yake lakini wengi hao walisema wanashindwa kutambua changamoto yangu, huku wengine wakitaka kiasi kikubwa cha fedha.
Hali ile iliendelea kwa miazi kadhaa na kubadilika na kuwa mbaya zaidi kwani safari hii nilikuwa nanyongwa kabisa ndoto na kikundi cha watu ninaowafahamu na wengine ni rafiki zangu kabisa lakini nikishtuka nakuwa sikumbuki chochote huku mwili ukitokwa jasho lingi. Soma zaidi hapa