Sikujua kama siku moja ningekuwa na nguvu ya kutabasamu kuhusu kisa hiki. Miaka michache iliyopita, nilikuwa mvulana wa kawaida tu niliyempenda msichana mmoja kupita maelezo. Alikuwa mpole, mrembo na mwenye ndoto kubwa.
Tuliishi mtaa mmoja hapa Mwanza na uhusiano wetu ulianza kwa urafiki wa kawaida kabla haujakua upendo wa dhati.
Baada ya miaka miwili ya uchumba, nilipata ujasiri wa kumwambia kuwa nataka kumuoa. Alifurahi, lakini akaniambia lazima nikutane na mama yake kwanza kwa baraka. Niliona ni jambo la heshima, nikajiandaa vyema kwenda nyumbani kwao.
Nilipokutana na mama yake, mambo hayakuenda kama nilivyotarajia. Alinitazama juu chini, akaniuliza maswali ya kazi yangu, elimu yangu, na familia yangu.
Nilikuwa nimemaliza shule ya sekondari lakini sikuweza kuendelea na chuo kikuu kwa sababu ya hali ya kifamilia. Nilikuwa nafanya biashara ya kuuza mitumba sokoni—sio biashara kubwa, lakini ilinisaidia kujikimu. Soma zaidi hapa