Serikali imezindua mkakati wa kuongeza fursa za ardhi kwa vijana kupitia Benki Maalum ya Ardhi, taasisi itakayowezesha vijana kumiliki maeneo kwa ajili ya kilimo, ujenzi na uwekezaji.Katika ufunguzi wa maonesho ya kilimo Nane Nane mkoani Mbeya, Mkuu wa Mkoa Beno Malisa amesisitiza umuhimu wa vijana kuondokana na changamoto za ardhi na kutumia pembejeo bora ili kuongeza tija kwenye kilimo.Aidha, Meneja wa Azania Bank Mkoa wa Mbeya ameahidi kuunga mkono jitihada hizo kwa kuwapatia wananchi huduma rafiki za kifedha zitakazowezesha maendeleo katika kilimo na ufuga
Trending
- Hafla ya Makabidhiano ya Vitabu vya Fidia vya Mradi wa Chanzo cha Mto Kiwira
- WAKUTUBI WAKUTANA MBEYA WAJADILI MFUMO BORA WA MAKTABA NA USOMAJI VITABU KIDIJITALI
- MKUU WA MKOA WA MBEYA BENNO MALISA AHIMIZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KULINDA FEDHA ZA UMMA
- Suzi alivyomrejesha mpenzi wake na wakafunga ndoa
- Jinsi unavyoweza kuibadilisha biashara yako na kukupa faida
- RAIS DKT. SAMIA AKIWASILI SKUA (TANGA) KWA KIKAO CHA NDANI NA VIONGOZI WA JWTZ
- WAZIRI MKUU- WATANZANIA TUNZENI AKIBA YA CHAKULA▪️Ahimiza matumizi ya mbolea na mbegu za mazao
- Ndipo akashinda Sh13 milioni kupitia betting

