Author: Mbeya Yetu

Wakati wengine walikuwa wanazungumzia ndoto zao za kuishi kwenye majumba ya kifahari, mimi nilikuwa nalala kwenye godoro lililotoboka ndani ya banda la mabati. Sauti ya mbu na mvua ilikuwa ya kawaida usiku, na mara kadhaa nililazimika kufunika godoro kwa nailoni ili kuliepusha na matope. Hicho ndicho kilikuwa ‘chumba changu’ na sikuwahi hata kufikiria kuwa ningeweza kuamka ndani ya nyumba yangu mwenyewe ya ghorofa. Jina langu ni Jackson, nina umri wa miaka 31, mzaliwa wa Kigoma lakini nimeishi Temeke kwa miaka zaidi ya kumi. Nilipohamia Dar, lengo langu lilikuwa moja kutafuta maisha bora. Lakini miaka ikasonga, kazi zikawa za mikataba ya…

Read More

Ukweli ni kwamba heshima ya kweli anayopewa mwanaume kutoka kwa mke wake ni pale ambapo anatimiza majukumu yake vizuri ya kuihudumia familia, na kubwa zaidi ni pale wakati wa kula chakula cha usiku, mume ahakikishe mke kala na kuridhika. Wakubwa tunaelewana vizuri katika jambo hilo nyeti zaidi, huo ni uwanja wetu wa vita wa kujidai na kuonyesha uwezo wetu na kudhihirisha uanaume wetu. Niseme katika ndoa yangu kuna kipindi nilikubwa na tatizo la kiafya ambalo lilipelekea mimi kushindwa kumridhisha mke wangu hadi akafikia hatua ya kuanza kunidharau na kutamka wazi wazi ataenda nje ya ndoa yetu. Kwenye ndoa nimeishi kwa…

Read More

Hospitali moja kubwa jijini Dar es Salaam iliwahi kuandaa wasifu wa kifo kwa mgonjwa ambaye madaktari walithibitisha hakuwa na matumaini ya kupona tena. Wauguzi waliambiwa kuwa muda wowote wangehitajika kutoa taarifa rasmi ya kifo. Familia yake ilishaandaa jeneza na michango ya mazishi ilianza kutumwa. Lakini kwa mshangao wa kila mtu, mgonjwa huyo aliamka, akapata nafuu ya ghafla, na leo hii anaendesha biashara yake mwenyewe akiwa na afya tele. Kwa wiki kadhaa, habari hii ilisambaa sana kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakijiuliza, “Huyu jamaa alifufuka?” Au “Ilikuwa bahati tu?” Hii ni hadithi isiyo ya kawaida, lakini kwa Hassan Mussa mwenyewe,…

Read More

Kilichotokea siku hiyo siwezi kukisahau. Nilikuwa nimekaa sebuleni nikipanga makabrasha ya mume wangu ambaye pia alikuwa ‘sugar daddy’ wa watu bila mimi kujua. Alikuwa safarini na aliniomba kupitia baadhi ya hati zake kwa ajili ya kukamilisha malipo ya kodi ya mashamba yetu. Ndipo macho yangu yalipokutana na kitu kilichonifanya nipate kizunguzungu jina la Pamela Mwakipesile kwenye hati halali ya umiliki wa shamba lililokuwa lake kwa zaidi ya miaka saba. Pamela alikuwa mrembo mdogo sana, mwenye umri wa binti yangu wa kwanza. Nilimjua kwa majina tu kwa sababu ya minong’ono mitaani kuwa ni mmoja wa ‘side chick’ wa mume wangu. Nilikuwa…

Read More

Naweza kusema hakuna furaha anayokuwa nayo mwanamke kama kuitwa Mama, daima siwezi kuisahau siku ambayo nilimshika kwa mikono yangu mtoto wangu wa kwanza kwa mara ya kwanza. Chozi la furaha lilinitoka bila mwenyewe kujua, nilijikuta nalia tu kwa furaha niliyokuwa nayo, moyo wangu ulihemewa kwa furaha ambayo ni vigumu kuelezeka na kueleweka. Nasema hivyo kwa sababu kuu mbili; kwanza kujifungua salama mtoto wangu wa kwanza akiwa na afya tele, pili ni kwamba niliangaika sana kutafuta mtoto hadi ukafikia wakati wa kuanza kukataa. Jina langu kwa sasa naitwa Mama Anna, ni mkazi wa Malindi nchini Kenya, katika ndoa yangu nilikaa miaka…

Read More

Nilikuwa nimekaa mbele ya kioo, nikiangalia pua yangu, ngozi yangu yenye madoa na mdomo wangu uliokuwa mwembamba. Sikuwa najipenda. Kilichoniumiza zaidi ni maneno aliyoniambia mtu niliyempenda kwa moyo wangu wote: “Wewe si mrembo, na huwezi kuwa mrembo bila kufanya upasuaji.” Alikuwa mpenzi wangu wa miaka miwili, lakini siku hiyo alikatiza uhusiano wetu kwa kauli hiyo ya kikatili. Toka utotoni nilikuwa na matatizo ya kujiamini. Nilichekwa sana shuleni, wenzangu waliniita majina kama “kiatu cha mguu mmoja” na “uso wa ndoo.” Nilijua sina ngozi laini kama ya wenzangu, nilikuwa na chunusi za mara kwa mara na nywele zangu hazikuwa laini wala zenye…

Read More

Hapa duniani kuna njia nyingi za kuweza kufanikiwa kimaisha, changamoto inakuwa jinsi gani utaweza kupata hizo njia na kuzitumia hadi kuweza kufanikiwa. Kibaya zaidi ni kwamba ni watu wachache sana waliofanikiwa ambao hueleza ukweli kuhusu siri za mafanikio yao, wengi husema uongo kuhofia kupitwa kimafanikio au kukutwa na gundu. Moja ya njia ambazo zinaonekana kuwa nyepesi kufanikiwa kimaisha ni kubashiri michezo (bet), unapoweka fedha kidogo unaweza kuona utashinda fedha nyingi endapo timu ulizochagua zitashinda kama ulivyobashiri. Hata hivyo, watu wengi hasa vijana hujikuta katika maisha ya kubet kwa miaka mingi bila kufanikiwa kupata fedha yoyote zaidi ya fedha zao kuzinufaisha…

Read More

Wakazi wa jiji la Mbeya walishtushwa na tukio lisilo la kawaida lililotokea katika mtaa wa Forest, ambapo mwanaume mmoja anayejulikana kwa jina la Richard aliripotiwa kushindwa kutembea ghafla baada ya kutoka nyumbani kwa mwanamke anayedaiwa kuwa mpango wake wa kando. Tukio hilo liliwavutia watu wengi na kuzua mijadala mikali kuhusu uaminifu kwenye ndoa na nguvu za kiroho. Kwa mujibu wa mashuhuda, Richard alikuwa ameonekana akiingia nyumbani kwa mwanamke huyo mchana wa saa nane. Ilielezwa kuwa alikuwa amevalia mavazi rasmi, akionekana mwenye furaha. Hata hivyo, muda mfupi baada ya kuingia, vilisikika vilio vya maumivu na kelele kutoka ndani ya nyumba hiyo.…

Read More

Ukweli ni kwamba kila mfanyabiashara ambaye unaona amefanikiwa, ana siri kuhusu mafanikio, kuna jambo la muhimu nyuma ya pazia katika yale mafanikio yake, na sio wote wapo tayari kuzungumzia hilo. Nimekuja kuamini hilo baada ya kukutana na Kiwanga Doctors na kunieleza wafanyabiashara maarufu na wakubwa wengi wamepita kwao kutazamwa nyota zao kibiashara, na ndipo wakaenda kufanya kazi katika eneo la nyota zao na kufanikiwa. Jina langu ni Ally, mimi ni Mfanyabiashara ambaye najishughulisha na usafirishaji wa mizigo kutokea bandari ya Mombasa kuja Nairobi. Nashukuru sana kazi hii ambayo nimeifanya kwa miaka zaidi ya mitano sasa, imekuwa yenye faida sana kwenye…

Read More

Kwa miaka saba, nilijaribu kila njia kupata mtoto lakini sikufanikiwa. Nilikuwa kwenye ndoa nzuri mwanzoni, lakini kadri muda ulivyopita bila mimba, kila kitu kilianza kubadilika. Mume wangu, ambaye awali alikuwa mpole na mwenye upendo, alianza kuwa mtu tofauti kabisa. Alianza kuchelewa kurudi nyumbani, na mara nyingine hakuwa akizungumza nami hata siku nzima. Nilikimbilia hospitali mara kadhaa. Vipimo vyote vilionyesha niko sawa. Nilifanyiwa hata upasuaji mdogo ili kusafisha mirija ya uzazi. Madaktari waliniambia “subiri tu, wakati wako utakuja,” lakini miaka ikaenda bila dalili yoyote ya ujauzito. Marafiki na hata baadhi ya ndugu walianza kunitenga, huku wakinong’ona kuwa labda nilikuwa nimetumia ujana…

Read More