#MbeyaYetuTv
Madaktari katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya walifanya jitihada kubwa kuokoa maisha ya mapacha wanne kati ya watano aliokuwa amebeba mwanadada Emiliana katika ujauzito wake.
Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Mbeya Dkt Ismail Macha amesema waligundua katika ujauzito wa Emiliana mtoto mmoja kati ya watoto watano alikuwa amefariki tumboni hivyo walifanya jitihada kuokoa watoto waliobaki na baadaye kufanikiwa kumzalisha kwa njia ya upasuaji.
-~-~~-~~~-~~-~-
Please watch: “EXCLUSIVE: GADNA NA MWANAE: Nataka mwanangu awe na ShugaDaddy/Siamini mahusiano “
https://www.youtube.com/watch?v=0IbU8Yve4S4
-~-~~-~~~-~~-~-