Mtangazaji nguli wa iliyokuwa Redio Tanzania Dar es Salaam (RTD) Abdul Ramadhan Ngarawa amesimulia yaliyomfika wakati wa Vita vya Kagera nchini Uganda.
Usiache Ku-subscribe,Ku-Like,Ku-Share na Ku-comment katika page ya Mbeya Yetu Online Tv upate habari moto moto zilizofanyiwa utafiti wa kina