Mshindi wa tuzo ya Malkia wa Nguvu Zuwena Mohamed almaarufu SHILOLE au SHISHI BABY!! amesema anawahusudu na kuwapenda sana wanaume wa Mkoa wa Mbeya kutokana na kuwa na nguvu kutokana kula chakula chenye nguvu Ugali na Dona.
Shilole amesema hayo wakati wa uzinduzi wa Mgahawa mpya ya kisasa Jijini Mbeya TEXAS RESTAURANT
#MbeyaYetuTv
Trending
- MAHUNDI AZINDUA VIKOBA DAR ES SALAAM
- MHESHIMIWA MHANDISI MARYPRISCA MAHUNDI AZINDUA KIKUNDI CHA VICOBA DAR ES SALAAM
- Jinsi mume alivyomuokoa mkewe kufanyiwa upasuaji kipindi akijifungua
- SHUHUDIA VIPAJI VYA WANAFUNZI WANAOTARAJIA KUANZA DARASA LA KWANZA 2025 MARYS PRE &PRIMARY SCHOOL
- Hii ndio sababu elimu pekee haiwezi kukusaidia kupata ajira
- CHAUMMA YAGAWA UBWABWA KUSHEREKEA USHINDI WA UENYEKITI WA MTAA
- Nilivyomrejesha mume tuliyeachana kwa talaka
- Viongozi wa Dini Wapongeza Utulivu na Amani Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa