Author: Mbeya Yetu

Shule ya awali na msingi Holy Land ya Makongolosi Chunya Mkoani Mbeya inayonilikiwa na Lawena Nsonda(Baba Mzazi)imefanya mahafali ya kwanza ya darasa la Saba tangu kuanzishwa kwake miaka saba iliyopita mgeni rasmi akiwa ni Titho Tweve. Katika hotuba yake Titho Tweve amewataka wazazi kuwekeza kwenye elimu ili watoto wawe na maisha bora.Aidha Tweve amechangia tani tano za saruji zenye thamani ya shilingi milioni tano kwa ajili ya ujenzi wa uzio kuimarisha usalama wa watoto. Tweve ameupongeza uongozi wa shule ya Holly Land Pre and Primary School kwa namna ilivyojikita kutoa elimu bora hali iliyowafanya wazazi kutoka maeneo mbalimbali nchini kuwaleta…

Read More

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Damas Ndumbaro akizungumza na Wajumbe kujadili utekelezaji wa mkataba wa Kimataifa wa Kudhibiti matumizi ya ya dawa za kuongeza mbinu haramu michezoni. Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya UNESCO Profesa Hamis Malebo akiwa katika kikao cha Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt Damas Ndumbaro cha kujadili utekelezaji wa mkataba wa Kimataifa wa Kudhibiti matumizi ya dawa za kuongeza mbinu haramu michezoni. *Ni Utekelezaji wa mkataba wa UNESCO Na Mwandishi Wetu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas D. Ndumbaro (Mb) ameekutana na wajumbe katika kikao cha kujadili utekelezaji wa Mkataba…

Read More

Wakazi wa Mkoa wa Mwanza wakiwa katika vituo vya Kuboreshea Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wakijiandisha na kuboresha taariza zao leo ambapo uboreshaji huo umeanza kwa mikoa ya Mwanza na Shinyanga. Mikoa hiyo itafanya zoezi hilo kwa siku saba kuanzia leo Agosti 21 hadi 27, 2024. Wakazi wa Mkoa wa Mwanza wakiwa katika vituo vya Kuboreshea Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wakijiandisha na kuboresha taariza zao leo ambapo uboreshaji huo umeanza kwa mikoa ya Mwanza na Shinyanga. Mikoa hiyo itafanya zoezi hilo kwa siku saba kuanzia leo Agosti 21 hadi 27, 2024. Vijana ni kundi kubwa…

Read More

Gavana wa Jimbo la Katanga, DRC Mhe. Jacques Kyabula Katwe ameambatana na Konseli Mkuu Bw. Jacob Msekwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB DR Congo Bi Jessica Nyachiro kushiriki katika Likasi Marathon iliyofanyika katika mji wa Likasi, DRC kwa udhamini wa CRDB DRC ikiwa na washiriki zaidi ya 2000 kutoka Jimbo la Katanga.

Read More